iqna

IQNA

saher kabi
Wanazuoni mashuhuri wa ulimwengu wa Kiislamu /6
TEHRAN (IQNA) – Ili kukabiliana na wakoloni na wavamizi au kuimba kauli mbiu za kizalendo, mtu si lazima kuwa mwanasiasa au kuingia katika mapambano ya silaha. Wasanii wanafanya haya bila kuingia kwenye ulimwengu wa siasa.
Habari ID: 3476133    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/23